Promotion

Kampuni ya Simu ya Infinix kutoa simu bure! kwa wateja wake

Kampuni ya simu ya Infinix imekuletea aina mpya ya simu ikiwa ni muendelezo wa toleo la simu za HOT na safari hii ujio wa simu hiyo inayotambulika kama Infinix HOT 6X inakwenda sambamba na challenge ya mtandaoni inayofahamika kama #HOT6XChallenge na #HOT6X.

Jinsi ya kushiriki shindano ili na uwezo kujipatia simu hiyo ya kisasa bure yenye sifa lukuki kama vile kioo chenye upana wa nchi 6.2 HD+ na teknolojia ya notch. Kamera yenye megapixel 13 +2 na flashi mbili nyuma pamoja na selfie matata yenye megapixel 8 na flash, na uzuri zaidi kamera za Infinix HOT 6X zinatumia teknolojia ya Artificial intelligent inayosaidia kutambua aina ya kitu pindi tu unapokipiga picha.

Infinix HOT 6X ni simu yenye uwezo mkubwa wa kuprocess files kutokana na aina ya android inayofahamika kama android 8.1 ikisaidiana na processor ya Qualcomm snapdragon na ram ya GB 3. Lakini pia Infinix HOT 6X inauwezo mkubwa wa kubeba files nyingi kutokana na uwezo wake wa kuhifadhi vitu unaofahamika kama memory ni GB 32.

Je, utawezaje kuifanya iwe yako bila ya kutumia pesa isiyopungua laki 350000 za kitanzania? Cha kufanya ingia sasa katika account ya @infinixmobiletz repost picha au post picha ya #HOT6XChallenge kwenye account yako ya instagram, weka caption nzuri alafu hashtag #HOT6XChallaenge na #HOT6X na tag @infinixmobiletz kasha tag marafiki zako walike post yako na uweze kuibuka mshindi wa Infinix HOT 6X na zawadi nyingine nyingi.

Kwa maelezo zaidi tembelea ukurasa wetu wa instagram @infinixmobiletz.
https://www.instagram.com/p/BpJZtKNH_Cj/?hl=en&taken-by=infinixmobiletz.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents