Burudani ya Michezo Live

Kangi Lugola afunguka wafungwa kupata ujauzito magerezani na sakata la kuruhusiwa kufanya mapenzi (+video)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola leo Aprili 17, 2019 akiwa bungeni Jijini Dodoma, amejibu taarifa za kuwepo kwa wafungwa wa kike Magerezani ambao waliingia bila ujauzito lakini wamepata mimba wakiwa magerezani ile hali walinzi wao ni wanawake.

Waziri Lugola pia ametoa onyo kali kwa Watanzania kuwa waache kuvunja sheria kwani Magereza yamejaa kutokana na idadi kubwa ya wahalifu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW