DStv Inogilee!

Kangi Lugola awakaripia watu wanaoshangaa watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi (+video)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amekemea vikali tabia ya Wananchi kujichukulia hatua mkononi na kwenda kuchoma vituo vya polisi pindi yanapotokea matatizo ya vifo vya watuhumiwa wakiwa mikononi mwa polisi, huku akieleza kuwa kifo ni mtego mtu atakufa sehemu yoyote ile hata akiwa anafanya mapenzi.

Waziri Kangi amefunguka hayo leo Septemba 13, 2018 Bungeni Jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Konde, Khatib Said Haji aliyehoji mahabusu kufia mikononi mwa polisi.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW