Burudani

Kansiime akanusha habari za uzushi kuwa alikamatwa na dawa za kulevya London

Mchekeshaji wa Uganda, Anne Kansiime amekanusha taarifa zilizoenea mtandaoni kuwa amekamatwa na dawa za kulevya London, Uingereza.

Habari hizi zilidai kuwa amekamatwa na kilo 2 za dawa aina ya cocaine.

“And about the online story going around that this your ninja girl is currently detained in some prison cell in London for being in possession of 2kgs of Cocain at Heathrow airport….. heheheheheheh this world is not my home indeed!? Thank you my ninjas for being the first to doubt such stories and Let’s spread more love to eachother my ninjas. Trust me, they are #sharedblessings,” ameandika Instagram.

Taarifa hiyo iliandikwa kwenye blog ya mirror-uk.com.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents