Burudani
Kanye na Kim wakava jarida la Vogue, Kim asema ndoto imetimia
Kukava jarida la Forbes la Marekani si jambo rahisi. Na ndio maana kwa Kim Kardashian kufikia hatua hiyo, ni ndoto iliyotimia.
‘This is such a dream come true!!! Thank you @VogueMagazine for this cover! O M GGGGGG!!! I can’t even breath!’ (sic)’ alitweet Kim.
Kwenye kava hilo, Kanye West na Kim wanaonekana wakiwa wamevaa kama maharusi huku wakiitwa #WorldsMostTalkedAboutCouple. Pia mtoto wao North ameonekana.