Burudani

Kanye West aukaribisha mwaka kwa style mpya ya nywele

Kanye West ameamua kuja na staili mpya ya nywele zake.

Jumatatu hii rapper huyo wakati akitoka kwenye jumba la sinema mjini Los Angeles ameonekana akiwa na staili mpya ya nywele ambayo ameziweka rangi tatu tofauti ukiachana na alivyoweka mwanzo.

Hata hivyo imedaiwa kuwa familia ya Kardashian ndio inachangia kwa kiasi kikubwa kwa Kanye kufanya vitu vya tofauti kiasi hicho. Kanye alianza kuonekana mitaani Disemba 8 btangu alipolazwa hospitali Novemba 21 mwaka huu kutokana na matatizo ya akili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents