Tupo Nawe

Kanye West hakamatiki katika mkwanja, awaacha mbali sana Jay-Z, Drake na P. Diddy, Forbes yathibitisha yeye ndiyo kinara kwa wana hip hop

Mwanamuziki wa hip hop kutoka nchini Marekani, Kanye West ameibuka kinara kwa wasanii waliyolipwa fedha ndefu zaidi kwa mwaka 2019 huku mkwanja aliyovuta nyota huyo ikiorodheshwa kuwa ni kiasi cha dola milioni 15 za Kimarekani.

#1: Kanye West, $150 million

Kwa mujibu wa jarida la Forbes Kanye ameshika nafasi ya kwanza kutokana na biashara yake ya mavazi pamoja na ile ya viatu maarufu kama Yeezy ambapo anatarajiwa kufanya mauzo na kuingiza kiasi cha dola za kimarekani bilioni 1.5 kwa mwaka huu pekee.

#3: Drake, $75 million

Kwenye orodha hiyo iliyotolea na Forbes mwanamuziki, Jay- Z ameshika nafasi ya pili kwa kuingiza kiasi cha dola za Kimarekani milioni 81 huku Drake akiwa nafasi ya tatu kwa kuvuta dola milioni 75 na Diddy akiwa kwenye nafasi ya nne kwa kuingiza dola milioni 70.

#13: Cardi B, $28 million

Full List: The World’s 20 Top-Earning Hip-Hop Stars

20. Pitbull ($18 million)

19. Wiz Khalifa ($18.5 million)

18. Nas ($19 million)

17. Future ($19.5 million)

16. Birdman ($20 million)

15. Meek Mill ($21 million)

14. Swizz Beatz ($23 million)

13. Cardi B ($28 million)

12. Nicki Minaj ($29 million)

11. J. Cole ($31 million)

10. Childish Gambino ($35 million)

9. Migos ($36 million)

8. Kendrick Lamar ($38.5 million)

7. DJ Khaled ($40 million)

6. Eminem ($50 million)

5. Travis Scott ($58 million)

4. Diddy ($70 million)

3. Drake ($75 million)

2. Jay-Z ($81 million)

1. Kanye West ($150 million)

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW