Mitindo

Kanye West kuja na mavazi ya shule

Rapper Kanye West sio tu kwenye muziki na mavazi ya kawaida, bali tuegemee kumuona katika ubunifu wa sare za shule.

Boss huyo wa Yeezy, anaendelea kutikisa katika ulimwengu wa mitindo, hivyo tutarajie kumuona katika ubunifu wa sare za shule za sekondari. Mr West hato buni sare za shule za kizamani, na ameamua kufikisha wazo hilo la kutengeneza nguo za michezo kwa kuchagua shule moja ambayo ni Calabasas High School, California- Marekani.

Hata hivyo sare hizo hazijaanza kutumika katika shule, ila washauri wa masula ya mitindo wamemuonya kuto tengeneza sare hizo kama nguo za mkewe Kim Kardashiani au za kuvaa katika show za wanamuziki kama Justin Bieber na Drake.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents