AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Kanye West kuliamsha dude muda wowote

Watu na makiki yao bhana. Baada ya kuteka vichwa vya habari siku chache zilizopita, Kanye West ameahidi kuachia ngoma yake mpya.

Kanye aliwashtua mashabiki kwa tweet zake za mfululizo huku kubwa iliyoteka vichwa vya habari ni mpango wake a kuwania kiti cha urais nchini Marekani ifikapo mwaka 2024 pamoja n kuukosoa uongozi wa Barack Obam.

Hata hivyo stori hiyo imeonekana kuwa msanii huyo alikuwa anatengeneza tenssion kwa mashabiki ili aweze kuachia kitu kipya.

Kupitia mtanao wake wa Twitter rapper huyo ameahidi kuachia ngoma kwa kuandika:

I’m going to drop a song with a verse that will bring Ebro the closure he’s been seeking

The bars 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

It’s called Lift Yourself

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW