Burudani

Kanye West: Naungana na ndugu zangu wa Nigeria kukemea ukatliwa wa SARS, lazima serikali ijibu

 Rapper kutoka  nchini Marekani Kanye Omari West alimaarufu  Kanye West ameelezea kuunga mkono Wanaigeria wanaoandamana dhidi ya ukatili uliofanywa na kikosi maarufu cha polisi cha kukabiliana na wizi (Sars).

Maandamano yaliyosambaa kote nchini Nigeria yamemlazimisha Rais Muhammadu Buhari kuvunja kikosi hicho. Lakini waandamanaji wanataka maafisa wa kikosi hicho kukabiliana na mkono wa sheria.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Kanye ameandika haya

https://twitter.com/kanyewest/status/1315775959463653377

Kanye West ametuma tweet kwamba serikali ya Nigeria “Ntasimama na ndugu zangu wa kiume na kike kutoka Nigeria kutomeza ukatili wa rai wa taifa hilo, lazima Serikali ijibu kilio cha watu “

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents