Michezo

Karata yangu ni kwa Anthony Joshua- Mike Tyson

Kabla ya Dunia kusimama kwa muda hii leo kupisha Mpambano wa kusisimua wa Mchezo wa Masumbwi Duniani, Legendari wa Mchezo huo Mike Tyson, amejitokeza hii leo na kuweka wazi kuwa Anthony Joshua atashinda katika pambano hilo.

Joshua ambae ataingia ulingoni kuvaana na Klitschko, anaaminiwa na Tyson kuidhihirishia Dunia ni namna gani Ngumi za kimarekani zilivyo katika mpambano.

Legendari Tyson, atakuwa akilifuatilia pambano hilo kwa karibu kabisa Jumamosi ya leo. mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Wembley na itakayoshuhudiwa mubashara, Duniani kote kupitia runinga ya Michezo ya Sky Sport.

Tyson ambaye alikuwa bingwa wa dunia asiepigika katika zama zake, ana matumaini makubwa na Joshua kutwaa ushindi siku ya leo.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents