Umbea

Kardashian kupata mtoto wa kike


Dada wa Kim Kardashian amabye pia ni star wa show yao ya Kourtney and Kim take New york and Keeping up with the Kardashians ametoa news kwamba anategemea kujifungua mtoto ambaye ni wa kike miezi michache ijayo. Huyu atakua ni mtoto wa pili wa Kourtney amabaye wa kwanza ni wa kiume anayeitwa Mason.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents