Kassim Mganga afungua mwaka 2020 na Bao (Video)

Msanii wa muziki @kassimmganga ameufungua mwaka 2020 kwa kuachia video ya wimbo wake mpya uitwao, Bao. Video hiyo ambayo kwasasa inapatikana YouTube kupitia link ya bio yake, imeandaliwa na director mkongwe wa video za muziki nchini Tanzania,@AdamJumanxl .

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW