Habari

Katapila laanguka

katapilla_face

Maeneo ya Mabibo Relini gari kubwa la kubeba makotena, lilishindwa kuendelea na kazi yake baada ya kujikuta likila mweleka wa nguvu kwa kulala baada ya kuzidiwa, kwa kazi zake maeneo hayo ya makontena.

 

Tatizo halijafahamika vizuri kama ni aridhi ya eneo hilo, gari lenyewe bovu ama ni kuzidiwa kwa mzigo, ila hali hii inazidi kutisha na kutishia amani na uhai wetu pindi tunapokutana nayo barabarani na kutujengea hofu. Watu wengi hadi sasa wameshapoteza imani na gari lolote linalobeba komtena kutoaka na tukio la kuangukia gari la abilia na pikpiki moja na kusababisha vifo.

Katapila

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents