Michezo

Ezekiel Kamwaga awa Katibu Mkuu mpya wa Simba

Uongozi wa timu ya wekundu wa Msimbazi Simba ya jijini Dar es Salaam umemtangaza rasmi mrithi wa katibu mkuu wake wa zamani, Evodius Mtawala kuwa ni Ezekiel Kamwaga. Mtawala alipata kazi nyingine kama mkurugenzi wa kitengo cha wanachama na sheria TFF.

kamwaga
Ezekiel Kamwaga

Uongozi huo wa Msimbazi pia umemteua Asha Muhaji ambaye ni mwandishi wa habari za michezo kuwa afisa habari mpya wa klabu hiyo.

1551738_665177663546316_330312119_n
Asha Muhaji

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents