Tia Kitu. Pata Vituuz!

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo, awakanya wasanii wanaotumia Scene za madawa ya kulevya (+ Video)

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) Bi. Joyce Fissoo, akizungumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Bodi hiyo wakati wa kujadili Tasmini ya Tamasha la “KATAA MIHADARATI” lililofanyika katika viwanja vya Mburahati Barafu jijini Dar es Salaam. 
Tamasha hili lilikuwa na lengo la kutoa Elimu kuhusu madhara ya Dawa za Kulevya na liliratibiwa na Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Asasi ya Binti Filamu, pamoja na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya. 

Baada kuongea kuhusu tathimini hizo aliamua kuchukua nafasi ya kuwakanya wasanii wanaotumia scene za kuonyesha madawa ya kulevya kwenye filamu zao, na kusema kuwa wawe makini sana na watumia scene hizo kwa lengo la kuelimisha na sio kuhamasisha matumizi ya madawa hayo.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW