Soka saa 24!

Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai athibitisha, Mwigulu Nchemba kupata ajali (+picha)

Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amethibitisha kuwa Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amepata ajali eneo la Mtera, akitokea Iringa kwenda Dodoma.

Kwa mujibu wa Azam tv, Katibu huyo wa Bunge, Stephen Kagaigai amethibitisha hilo mara baada Mwigulu na dereva wake kuwepo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma kwa matibabu.

Taarifa za awali zinasema kuwa gari lake liligonga Punda barabarani

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW