Burudani ya Michezo Live

Katibu wa Zitto Kabwe ACT Dar atimkia CCM, Apokelewa na Makamu wa Rais na kutoa siri hizi “Wapinzani hawana nguvu” – Video

Katibu wa Zitto Kabwe ACT Dar atimkia CCM, Apokelewa na Makamu wa Rais na kutoa siri hizi "Wapinzani hawana nguvu" - Video

Katibu mkuu wa chama cha ACT WAZALENDO CATHERINE MUHANDO kwa ridhaa yake ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM mbele ya Makamu wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN.


Akiongea mbele ya Mama Samia Catherine ameipongeza Serikali iliyopo madarakani ikiongozwa na Rais John Pombe Magufuli na kuahidi kwamba Wapinzani bado hawana uwezo wa kushika dola.
Mbali na hilo Catherine amesema kuwa katika mkoa wa Dar Es Salaam kuanzia wenyeviti wa mitaa hadi Wabunge CCM watashinda kwa kishindo.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW