Burudani

Katy Pery kumfanyia kampeni Hillary Clinton

Hillary Clinton atapata shavu kutoka kwa mwanamuziki wa kike mwenye nguvu nchini Marekani, Katy Perry atakayeungana naye kwenye kampeni za urais.

katyyellowshirt

Perry – miongoni mwa wasanii wanaouza kazi zaidi duniani, mwenye followers wengi kuliko mtu yeyote, milioni 76.3, ataungana na Clinton huko Iowa, October 24.

Clinton anawania kuja kuwa rais wa kwanza mwanamke nchini Marekani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents