Tupo Nawe

Kauli ya kwanza ya Kabendera baada ya kuachiwa huru kutoka jela akiongea na waandishi – Video

Kauli ya kwanza ya Kabendera baada ya kuachiwa huru kutoka jela akiongea na waandishi - Video

Mwandishi wa kujitegemea wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kulipa faini ya Shilingi milioni 100 kwenye shitaka la utakatishaji fedha na faini ya Shilingi 250,000 kwa kukwepa kulipa kodi.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW