Tia Kitu. Pata Vituuz!

Kauli ya kwanza ya Mwambe baada ya kujiunga na CCM akitokea CHADEMA, Polepole amkaribisha kwa mikono miwili – Video

Kauli ya kwanza ya Mwambe baada ya kujiunga na CCM akitokea CHADEMA, Polepole amkaribisha kwa mikono miwili - Video

Ndugu Cecil Mwambe, Mbunge wa Jimbo la Ndanda ametangaza kujiuzulu nafasi zote ndani ya Chadema ikiwemo ubunge na kujivua uanachama na kutangaza kuhamia CCM. Ndugu Mwambe amekaribishwa kujiunga CCM na  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Humphrey Polepole alivyomkaribisha aliyekuwa Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya CHADEMA Cecil Mwambe ambaye alitangaza kuachana na chama hico mapema leo na kujiunga na CCM.

Ndugu Cecil Mwambe, Mbunge wa Jimbo la Ndanda ametangaza kujiuzulu nafasi zote ndani ya Chadema ikiwemo ubunge na kujivua uanachama na kutangaza kuhamia CCM. 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW