Kauli ya msemaji mkuu wa Serikali Dkt, Abas baada ya kutembelea studio ya S2kizzy iliyoharibiwa (+Video)

Mchana huu nimetembelea studio ya wasanii wetu ambayo imeharibiwa na watu wanaodaiwa kuwa walinzi jamii. Tukio hili liko polisi, nimeagiza uchunguzi ufanyike haraka na hatua kali zichukuliwe dhidi ya waliohusika na tukio hilo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW