Michezo

Kauli ya Rais Wallace Karia baada ya kipigo cha Senegal ”Watanzania siyo wazalendo, timu ikifanya vibaya ni ya TFF na viongozi” (+Video)

Rais wa Shirikisho lenye dhamana ya kusimamia mchezo wa Mpira wa Miguu (TFF) ameonyesha masikitiko yake kwa baadhi ya Watanzania wenyetabia ya kulaumu pale timu za taifa zinapofanya vibaya na kukukishushia lawama chombo hicho na viongozi na inapofanya vema inakuwa ni ya kwao wote.

”Huwezi kusema Taifa Stars hawakujituma, vijana wetu wamejitahidi kwakuwa tumecheza na timu bora Afrika na kwa matokeo yale ya kucheza na timu bora Afrika tena nje ya nyumbani kwetu sio mabaya. Ingawa siyo mazuri kwasababu tupo kwenye mashindano, tunaendelea na pambano na vijana wanamorali ya juu.” Karia amekiambia chombo cha habari cha Bongo5.

 

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents