Tupo Nawe

Kauli ya Zahera inayoendelea kusumbua maskio ya Shabiki huyu ”Wanaipenda Yanga tofauti na Wake zao, tumemchoka” (+Video)

Shabiki wa klabu ya Yanga, Simon Mponda Ndungulu amesema kuwa upande wake amefurahishwa na maamuzi ya kutimuliwa kwa Kocha Mkuu Mwinyi Zahera hasa akikerwa na kauli zake ambazo alikuwa akiziongea ”Wengi wao tulishachoka naye Zahera, hasa kutokana na maneno yake anayozungumza.”

Ndungulu ameongeza ”Maneno ya kusema watu wanapenda Yanga tofauti na Wake zao, timu ni bora kuliko sisi.”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW