Burudani ya Michezo Live

Kauli za Harmonize kwa Shilole zazua gumzo ‘Usilie Shishi, Uchebe ataona wivu’ (Video)

Msanii wa muziki @harmonize_tz akiwa viwanja vya Sabasaba alimtembelea @officialshilole na kufanya mazungumzo ambayo yailiibua maswali mengi kwani Shilole alionekana kama analia. Katika mazungumzo nayo, Harmonize akisema “Usilie Shishi, Uchebe ataona wivu”

Hata hivyo baada ya muimbaji huyo wa Konde Gang kuondoka, Shilole alionekana akicheka.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW