Burudani

Kava ya ngoma mpya ya Remy Ma na Lil Kim yaachiwa

Umekuwa ukisubiria ngoma mpya ya Remy Ma na Lil Kim kwa muda mrefu? Basi kiu yako hiyo itakatwa muda si mrefu.

Tayari kava ya wimbo huo ambao umepewa jina la ‘Wake Me Up’ imeshatoka na Remy kupitia mtandao wa Instagram amethibitisha kuachia ngoma hiyo hivi karibuni.

Kupitia mtandao huo, rapper huyo ameandika, “#WakeMeUp coming soon: remymamusic.com.” Wasanii hao walionekana kwenye picha za pamoja wakiwa studio mwezi Septemba mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents