Burudani ya Michezo Live

Kayumba afunguka kuhusu slip ya malipo ya milioni 50 ya BSS iliyovuja mtandaoni “Fella alikuwa anasimamia akaunti” (Video)

Mshindi wa BSS mwaka 2015 Kayumba amefunguka kuzungumzia slip ya malipo ya tsh milioni 50 kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashindano hayo Madam Ritta kwenda kwa muimbaji huyo. Kayumba amedai ni kweli pesa aliambiwa zimeingia kwenye akaunti yake lakini hakuwahi kuiona zaidi ya kununuliwa gari na kupewa nyumba isiyoisha. Alisema akaunti hiyo ilikuwa inasimamiwa na uongozi wake wa zamani ambao ni Mkubwa Fella. Hata hivyo muimbaji huyo amesema tayari alishamalizana na Mkubwa Fella na kwa sasa hawana tatizo lolote.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW