Burudani ya Michezo Live

Kayumba asema hawezi kataa ofa za sugar mammy “Unawakataa wakati wana kila kitu?” (Video)

Msanii wa muziki Kayumba amefunguka kwa kudai kwamba anatoka kimapenzi na wanawake waliomzidi umri kwa kuwa wanajileta kwake na kwamwe hawezi kukataa. Muimbaji huyo ambaye kwa muda mrefu alikuwa anadaiwa kutoka kimapenzi na msanii wa filamu, Irene Uwoya ameachia wimbo wake mpya hivi karibuni ambao unakwenda kwa jina Kamwambie.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW