Habari

Kazi ya mpinzani kuanzia Januari hadi Disemba ni kupinga mambo yote ya Serikali – Mh. Lugola (+video)

Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira,Kangi Lugola wakati akichangia hoja ya Wizara ya Nishati ya mwaka 2018/019 amesema kuwa kuwa kuna watu kazi yao ni kupinga maendeleo ya Serikali tangu Januari hadi Disemba wao ni kupinga tu kazi ya serikali: Tazama video hii akifunguka Mh. lugola.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents