Burudani
Keisha anyoosha maelezo kumkosoa Diamond kisa picha Irene Uwoya (Audio)
Mwanamuziki Keisha amefunguka kueleza kwanini aliamua kumkosoa Diamond baada ya kupost mtandaoni picha ya rapa Dogo Janja mtandaoni. Mrembo huyo ambaye ni mjumbe wa NEC amesema akimkosoa rais huyo wa WCB ili kuwafundisha kitu vijana.