Michezo

Kejeli za Haji Manara kwa wapinzani wao Yanga zawakera mashabiki wa timu hiyo

Kejeli za Haji Manara kwa wapinzani wao Yanga zawakera mashabiki wa timu hiyo

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara aendeleza kejeli zake kwa wapinzani wao wa kubwa Dar Young African,kutokana na kile kinachoonekana timu hiyo kuwa na mwendo wa kusua sua kwa sasa.Licha kuwa Manara  amekuwa akiikejeli Yanga tangu muda lakini kwa sasa kejeli hizo zimezidi kwani kupitia ukurasa wake wa Instagram amekuwa akipost baadhi ya picha zinazoonyesha kuikejeli na kuitania klabu ya Yanga.

Jana klabu ya Yanga ilipata ushindi wa goli 4-3 dhidi ya Stand United huku timu hiyo kutoka mitaa ya Jangwani kufungwa magoli yote matatu na mchezaji mmoja ambaye ni Alex Kitenge,katika uwanja wa taifa Dar Es Salaam.

Wakati Yanga wakipata ushindi huo wa goli 4-3 wapinzani wao wakubwa Simba walikuwa Mtwara walipomenyana na Ndanda FC na wekundu hao wa msimbazi kualzimishwa sare ya bila kufungana na timu hiyo ya Ndanda.

Manara amekuwa akimtania mlinda mlango wa Yanga Kindoki, Haya ndio maneno ya Manara:-

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents