Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Kendall Jenner kukava jarida la Vogue la mwezi April, afunguka yote usiyoyajua

Familia ya Kardashian inazidi kutawala katika majarida ya Vogue. Safari hii ni zamu ya Kendall Jenner.

Mrembo huyo atatokea kwenye kava la jarida hilo kwenye toleo la mwezi April.

Kwenye jarida hilo, Kendall amefunguka mengi ikiwemo kuhusiana na mahusiano yake na mcheza kikapu wa NBA, Blake Griffin anayedaiwa kuwa mpenzi wake.

“Yeye ni rafiki. Ninafurahi, ni vizuri kuwa na mpendwa awe mzuri kwako,” amesema Kendell kwenye jarida hilo.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW