Burudani

Kendall na Kylie waomba radhi

Baada ya mama mzazi wa marehemu Notorious B.I.G., Bi Voletta Wallace kupaniki kwa kitendo cha familia ya Kardashian ( Kendall na Kylie Jenner) kutengeneza T-shirt bila kumjulisha, hatimaye wameamua kumuomba radhi mama huyo na watu wote waliowakosea.

T-Shrits hizo ambazo zina sura ya Notorious B.I.G. na Tupac Shakur, zingine zikiwa na sura za watu kama Ozzy Osbourne, Pink Floyd, na The Doors. Hazitauzwa tena kwa mujibu wa Kendall kupitia taarifa yake aliyiotoa kwenye mtandao wa Twitter.

“These designs were not well thought out and we deeply apologize to anyone that has been upset and/or offended, especially to the families of the artists. We are huge fans of their music and it was not our intention to disrespect these cultural icons in anyway.”

“The tee shirts have been pulled from retail and all images have been removed,” they added. “We will use this as an opportunity to learn from these mistakes and again, we are very sorry.”

Kendall Jenner amekuwa akiindia katika mabalaa mbali mbali moja ni lile la mwezi Aprili, jingine ni lile la tamasha la msanii Ja Rule.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents