Burudani

Kendrick Lamar aeleza kwanini alibadilisha jila la album yake kutoka ‘To Pimp a Caterpillar’ hadi kuwa ‘To Pimp a Butterfly’

Album mpya ya Kendrick Lamar, haikuwa ikiitwa To Pimp a Butterfly.

Jina lake la awali lilikuwa likikaribiana kufanana lakini lilikuwa katika kifupi na hivyo kuifanya blog moja ya hip hop ibashiri jina lake.

Rapper huyo wa Compton alikuwa akizungumza na MTV News na kudai kuwa alikuwa amepanga kuiita album ‘To Pimp a Caterpillar’ ambayo ilikuwa kama heshima kwa jina la Tupac.

Lamar amedai kuwa alikuja kufurahishwa kugundua kuwa blog ya Dead End Hip Hop iling’amua hilo mapema.

“That was the original name and they caught it because the abbreviation was Tupac, Tu-P-A-C,” alisema.

“Me changing it to Butterfly, I just really wanted to show the brightness of life and the word “pimp” has so much aggression, and that represents several things. For me, it represents using my celebrity for good. Another reason is, not being pimped by the industry through my celebrity.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents