Burudani

Kendrick Lamar na Rihanna waungana pamoja kukamilisha hili

By  | 

Kendrick Lamar na Rihanna wameingia location kushoot video ya wimbo ‘Loyalty’.

Wimbo huo unapatikana katika albamu ya rapper huyo, Damn ambayo iliachiwa April 14 mwaka huu na kufikia mauzo ya platinum.

Lamar amekuwa na ndoto za muda mrefu za kufanya kazi na Rihanna. Akiongea katika kipindi cha Beats 1, mwezi April Kendrick alisema, “I’ve always wanted to work with Rihanna. I love everything about her, her artistry, how she represents women to not only be themselves but to express themselves the way she expresses herself through music and how she carries herself.”

“I love everything about her, so I always wanted to work with her. I did the record and immediately, her name popped up. Reached out, we locked in a studio, and made it happen,” ameongeza.

Wakati huo huo wiki iliyopita Rihaana alikuwa mjini Miami akishoot video ya wimbo ‘Wild Thouhgts’ alioshirikishwa na Dj Khaled.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments