Tupo Nawe

KENYA: Nzige wageuka lulu, Wananchi wailalamikia serikali kuwapiga dawa “Wakila mazao sisi tunawala wao tena wamechelewa sana kuja” – Video

KENYA: Nzige wangeuka lulu, Wananchi wailalamikia serikali kuwapiga dawa "Wakila mazao sisi tunawala wao tena wamechelewa sana kuja" - Video

Wakazi wa Kaunti ya Bungoma ambayo ipo magharibi mwa taifa la Kenya ikiwa mpakani na Uganda wamejitokeza wakilalamika kuwa Nzige wamechelewa sana kuwafikia kwani wao huwatumia kama mboga.

Mbali na hilo pia wameiomba Serikali kuachana na suala la kuwapiga dawa kwani ni chakula chao labda wakapige dawa maeneo ambayo hawahitaji Nzige. Wakazi hao wameongeza kuwa Nzige kwani ni biashara na wanaamini uchumi katika eneo lao utakuwa sana kwa sababu watauza kama mboga sokoni.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW