Habari

KENYA: Watu wahofiwa kunasa kwenye kifusi baada ya jengo la ghorofa sita kuporomoka – Video

KENYA: Watu wahofiwa kunasa kwenye kifusi baada ya jengo la ghorofa sita kuporomoka - Video

Ripoti nchini Kenya zinasema kuwa jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa chini ya kifusi cha jengo hilo.

Shughuli za uokoaji zinaendelea. Ripoti zinasema watu kadhaa wameokolewa na kukimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.

Watu wakishuhudia jengo lililoporomokaWatu wakishuhudia jengo lililoporomoka
Watu wanahofiwa kunasa kwenye kifusiWatu wanahofiwa kunasa kwenye kifusi

Taarifa zaidi kukujia hivi punde.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents