Habari
Kenya yatangaza siku tatu za maombolezo kufuatia kifo cha hayati Benjamin Mkapa (+Video)
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza siku tatu za maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Benjamin William Mkapa.
https://www.instagram.com/p/CDB7US4hWQ0/