Habari

Keri Hilson akanusha kuwa mjamzito


Keri Hilson ameutumia mtandao wa kijamii wa Twitter kukanusha ripoti zilizoanza kuzagaa kuwa ni mjamzito.
Mtandao wa MediaTakeOut uliripoti kuwa mwanamuziki huyo wa R&B anategemea mtoto baada ya chanzo kimoja kuutonya mtandao huo kuwa wameona utofauti kwenye tumbo lake kwenye tukio moja jijini Atlanta.
“When I hugged Keri, I immediately felt her belly. And so I asked her ‘Are you?’ . . . and Keri told me to ‘SHHHH’ like it was a secret,” mtandao huo ulikinukuu chanzo hicho.
Hata hivyo muimbaji huyo wa ‘Knock You Down’ kupitia Twitter aliandika:
“I am NOT pregnant! *runs to the gym* why the f**k they sayin that?”
“Rumors people, rumors. Damn! Let a sista live *wink*”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents