Habari

Keri Hilson akanusha uvumi ulioenea kuwa ni mja mzito na ameacha muziki

Hit maker wa ‘Knock you down’ Keri Hilson ameu ‘knock down’ uvumi ulioenea kwamba ana ujauzito na anategemea kua mama.

Keri

Miss Keri ambaye ni kati ya waimbaji wa kike warembo na mwenye sauti tamu amekanusha habari hizo juzi jumapili (June 9) na kuelezea mambo kadhaa ya binafsi ambayo kwake huwa ni nadra sana kufanya.

Miss Keri alitweet, “I get how you could THINK you found clues to that conclusion you conjured…but I’m NOT pregnant. Those “clues” are unrelated & exaggerated”.

Sababu zilizopelekea watu kuanza kuhisi huenda ana ujauzito ni kutokana na maamuzi aliyochukua kuwa likizo kidogo ya kuwa kwenye spotlight ili afanye mambo binafsi akiwa na mpenzi wake bila kutoa maelezo kamili.

keri tweet-1

keri tweet-2

Miss Keri amekuwa aki spend muda mwingi na boy friend wake wa sasa Serge Ibaka kitu ambacho kilipelekea mpaka watu kuanza kupata hisia kuwa huenda akawa tayari amebebea mimba ya mtoto wa kwanza.

Keri 3

Keri-4

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents