Michezo

Kesi ya Aveva, Kaburu hali bado tete (Picha)

Kesi inayowakabili viongozi wa klabu ya soka ya Simba, Evans Aveva na Godfrey Nyange ‘Kaburu’ imekhairishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kutarajiwa kusikilizwa tena Agosti 30 mwaka huu.

Aveva na Kaburu wanakabiliwa na tuhuma za kughushi nyaraka za Simba SC na kutakatisha dola 300,000 (zaidi ya Sh milioni 650).

Kesi ya viongozi wa Simba yasogezwa mbele

Zifuatazo ni picha za matukio ya viongozi hao walipokuwa wakiwasili mahakamani

By Hamza Fumo na Yassini Ng’itu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents