Habari

Kesi ya uhaini inayomkabili mbunge wa Kyadondo East, Bobi Wine yasogezwa mbele 

Mahakama mjini Gulu nchini Uganda imeahirisha kusikizwa kwa kesi ya uhaini dhidi ya mbunge wa Kyadondo East Bobi Wine na watu wengine 34 hadi tarehe 3 Desemba.


Upande wa mashtaka umemuomba hakimu mkuu muda zaidi kukamilisha uchunguzi wake.

Bobi Wine na wenzake wanadai kuhatarisha maisha ya Rais Yoweri Museveni waliposhambulia msafara wake katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Arua.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents