BurudaniUncategorized

Kevin Hart adaiwa kuchepuka

Mchekeshaji kutoka Marekani Kevin Hart amedaiwa kuchepuka na kumsaliti mke wake Eniko Parrish ambaye ni mjamzito.

Kwa mujibu wa mtandao wa Radar.com, Kevin alitumia muda wa dadkika 20 akiwa na mwanamke anayedaiwa kuwa ndio mchepuko wake katika gari aina ya Lexus. Chanzo cha habari hiyo kimeeleza “It’s obvious they were up to no good, She kept looking over her shoulder and Kevin was pop-eyed when another guest walked by”.


Picha inayodaiwa muigizaji huyo akiwa na mwanamke mwingine

Hata hivyo mchekeshaji huyo amekanusha madai hayo kwa kupost picha katika mtandao wa Instagram na kuandika ‘#LiveLoveLaugh’.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents