BurudaniUncategorized

Kevin Hart azindua kitabu chake

Mchekeshaji na muigizaji maarufu duniani, Kevin Hart amezindua kitabu chake kitakachoelezea maisha yake.

Kitabu hicho kinaitwa “I Can Make This Up” kimezinduliwa Jumanne hii na kina elezea mambo mbalimbali aliyopitia katika maisha yake kama vile kukatishwa tamaa na mpaka kufikia alipo sasa.

“I Can Make This Up” pia kitakuwa kinapatikana katika mfumo wa sauti kama simulizi yenye video ili kuwarahisishia kazi kubwa kwa wale wanopendelea kusikiliza na kutazama picha zaidi kuliko kusoma vitabu.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents