Burudani

Kevin Hart na mkewe Eniko wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza

Mchekeshaji kutoka Marekani Kevin Hart amefanikiwa kupata mtoto wake wa kwanza tangu alipofunga ndoa na Eniko mnamo mwaka jana.

Hart ametoa taarifa ya kupata mtoto huyo watatu aitwaye Kenzo ,kupitia mtando wa kijamii wa Twitter huku akidai mtoto huyo yuko poa pamoja na mama yake.

Kevin alinusurika kupigwa kibuti baada ya kubainika kumsaliti mkewe miezi kadhaa ilipita na mchekeshaji huyo alikiri kufanya kosa hilo huku akiahidi kuto rudia. Awali Hart alikuwa na wawili aliyozaa na mkewe wa zamani Torrei.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents