Burudani

Keyshia Cole kuonekana kwenye msimu wa nne wa ‘Love & Hip Hop: Hollywood’

Msanii wa muziki kutoka Marekani, Keyshia Cole amepata shavu la kuonekana kwenye tamthilia ya ‘Love & Hip Hop: Hollywood’ kwenye msimu wa nne.

Kupitia mitandao ya kijamii ya VH1 ambao wanahusika kuandaa tamthilia hiyo, wamethibitisha kuwa mrembo huyo ni miongoni ya mastaa watakao kuwepo.

Mastaa wengine ambao wataonekana kwenye tamthilia hiyo katika msimu huu ni pamoja na Ray J, Princess Love, Miss Nikki Baby, Safaree, Chanel West Coast, Fizz, Hazel E, Brooke Valentine, Marcus Black, Masika Kalysha, Teirra Mari, Omarion, Cisco Rosado na wengine.

Tamthilia hiyo inatarajia kuzinduliwa Julai 24 ya mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents