Mahojiano
Khadija Kopa aeleza sababu za kuachwa na Diamond Platnumz kwenye tamasha la Wasafi Festival Muleba(+ Video)
Khadija Kopa aeleza sababu za kuachwa na Diamond Platnumz kwenye tamasha la Wasafi Festival Muleba(+ Video)
Msanii wa muziki wa Taarabu nchini Tanzania, Khadija Kopa ameeleza sababu za kuachwa na Diamond platnumz kwenye tamasha la Wasafi Festival Muleba mkoani Kagera.
By Ally Juma.