Burudani

Khadija Kopa alizwa na Wasanii wa Bongo Fleva, aiomba jambo Serikali ‘wenzetu wakifa mnawapa uzito’ (+video)

Msanii wa muziki wa Taarabu nchini Tanzania, Khadija Kopa amedai kuwa Wasanii wa Bongo Fleva hawana ushirikiano na Wasanii wa Taarabu jambo ambalo linaleta matabaka kwenye tasnia ya muziki.

Akiongea kwenye mkutano wa Wasanii na RC Paul Makonda jana Januari 31, 2019, Khadija Kopa amesema kuwa Wasanii wa Bongo Fleva wanajiona ni bora zaidi kuliko wao.

Kwa upande mwingine, Khadija Kopa ameiomba Serikali nayo iwathamini pindi wanapopatwa na misiba na kwenye gharama za vibali vya locations.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents