MahojianoVideos

Khadija Kopa anaanzisha taasisi ya kukuza vipaji vya watoto yatima [Video]

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=nz-LZK2d934[/youtube] Mwanamuziki Khadija Omari Kopa yupo katika mikakati ya kuanzisha taasisi ambayo itakuwa ikisaidia kukuza vipaji vya watoto yatima na waishio katika mazingira magumu. Kopa alisema taasisi hiyo anatarajia kuifungua Bagamoyo na tayari ameshaanza kununua vifaa na kuongea na wataalam juu ya kusaidia kutoa elimu na mafunzo mbalimbali.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents