Burudani
Kibubu ya EA Radio: “Ujuzi, kipaji & taaluma vina nafasi/mahusiano gani kwenye ujasiriamali wako”
Kibubu ni segment ambayo huwalenga wajasiriamali vijana na hurushwa kila Jumatano kwenye kipindi cha Super Mix cha East Africa Radio.
Topic ya leo (Oct 17) ni Ujuzi, kipaji & taaluma vina nafasi/mahusiano gani kwenye ujasiriamali wako” ambapo watahojiwa mjasiriamali Jokate Mwegelo na James Mwan’gamba.
Mtangazaji na mwandaaji wa Kibubu ni Michael Lukindo.